﻿"Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,"
"Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,"
"Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba."
